Mkomboz & Festo mabena:"Tarehe 24/December Watu wa nyumbani Makamba mjiandae"... - Kora Entertainment
Home » » Mkomboz & Festo mabena:"Tarehe 24/December Watu wa nyumbani Makamba mjiandae"...

Mkomboz & Festo mabena:"Tarehe 24/December Watu wa nyumbani Makamba mjiandae"...

Written By Unknown on mardi 18 décembre 2012 | mardi, décembre 18, 2012


Pichani Mkomboz na Festo Mabena(niliwakuta mjini kati wakiwa pamoja wanapanga kazi).

Msanii Nzeyimana Thomas  a.k.a Mkomboz kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku kuu kuziliya nyumbani,na mwaka huu wa 2012,tarehe 24/December,usiku wakuamkiya tarehe 25/December(usiku wa Noel) atakuwa kwa ushirikiano na Festo MABENA Msanii Mrundi ambae alitamba sana akiwa marekani na nyimbo yake 'Wamaze guhinduka'.Watakuwanae vile vile Msanii LOLILO,na kwa ushirikiano zaidi na waimbaji wa pande zile.Usiku wa mkesha huo wakuamkia siku ya Christmas wamepangia kurusha roho wa penzi wa burundi flava tarafani Kayogoro.Apo jana tuki ichukuwa fursa yakuhojiana na Festo MABENA kama tulivyo wa ahidi akawa ametwambia:"Natarajia kuifanya nyimbo moja ntakayo washirikisha Wasanii wa hapa nchini,tayari nimeshakubaliyana na Mkomboz,ninapanga kuchonga na Farious ili aweze ku ungana nasi kwenye colabo hio,na nitakapo imaliza nafkiria kuitengeneza video yangu ya nyimbo 'wamaze guhinduka'.Habari ndio hio...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News