Apo ilikuwa ni jana saa ine usiku kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa bujumbura... |
Mwanamuziki Mrundi NKEJIMANA HERVE a.k.a Chris Dizzo alie zaliwa mwaka 1987 baada ya miaka 7 akiwa anishi nchini Soth africa mjini Cap Town jana usiku ndipo alipokelewa kwenye uwanja wa ndege wakimataifa wa Mjini Bujumbura.Ilikuwa ni faraja kwake isio kuwa ndogo baada ya mdaa mrefu kuto kanyaga nchi alipozaliwa.Ndugu,jamaa,Jopo la Watangazaji,na kampuni ya IKHO MULTISERVICE walikuwepo ili kumpokea kwa shangwe Msanii huyo ambae anazidi kutetemesha mji flani flani nchini Africa ya Kusini.Alipofika alitwambia:"Namshkuru Mungu kuona nimerudi kukanya nyumbani Burundi,naona kama ndoto vile ila habari haina mchanga Washabiki zangu wote watambuwe kuwa nimeshafika Burundi."Ifahamike ya kuwa hapo jana alipokelewa na familia yake pakiwemo Wazazi wake wawili,na ndugu zake wa karibu.
Chris Dizzo na wazazi wake wakihojiwa na mtangazaji wa Ikho Multiservice AISHA AMURI,picha ikichukuliwa na Guerra Man... |
Kwafununu tulizo zipata ni kuwa kazi zake nchini zitasimamiwa na kampuni ya IKHO Multiservice,ila kwa mdaa huu tunao kuandikia habari hii yupo kwenye mkutano na Wanamemba wa kampuni hio ambao inafanya vyema hapa nchini kwa mdaa mgogo ambao imeshimika mizizi nchini hapa.
Amefkiya KIRIRI na leo hii tayari amebahatika kupata passeport mpya,ifikapo Jumaa tano akipenda Mungu atakuwa amejielekeza na Kundi la Seraphim's Songs na Mwanamuziki KIDUM,kwani fainali imepangwa tarehe 29/December/2012.Mtajuwa mengi kuhusu CHRIS D kwenye habari zitakazo fwata...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !