Apo ni sehemu flani,Chris d alipo wakusanya baadhi ya Watangazaji nakuwasimuliya kipi kinacho hitajika kufanyika kwa mdaa atakao saliya Burundi... |
Katika harakati yakujitangaza nakukuza kipaji chake cha mziki,Mwanamziki NKEJIMANA Herve a.k.a Chris d usiku wa leo ameufanya mkutano na baadhi ya waandishi wa habari wanao jihusisha na mpango mzima wakutangaza mziki.Alio yaongea kwenye mkutano huo ni kuwa:"Anataka kusimama vyema nchini Burundi,raia wamtambue zaidi,anahitaji Jopo hilo la watangazaji hao wampe nafasi nzuri yakutangaza kazi zake kupitiya vipindi tofauti tofauti.'Ilikuwa ni fursa yakupanuwana kifikra kuhusikana na mpangilio wa tamasha atakazo zifanya katika likizo fupi nchini mwake.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !