Dizzo na Paggio wakiwa kwenye kipindi 'East africa music' |
CHRIS D leo hii amekuwa mgeni kwenye kipindi EAST AFRICA MUSIC kwenye radio ya kibinafsi RPA pamoja na Paggio Patrick NIYONKURU.Alioyazungumza usubuhi ya leo,nikuwa:"Mimi niko Bujumbura,nafarijika kuona niko nyumbani,nilipenda kuwakumbusha ndugu zangu kuwa nimechaguliwa kuwakilisha nchi yangu kwenye mashindano ya KORA 2012,sasa nahitaji wanipe kura zao."
Aliongeza nakusema kuwa:"Atasafiri kuelekea Ivory Coast ifikapo Jumaa tano kwani mambo yote yamesimama vizuri,atarudi tarehe 31/December/2012 usiku,amepangilia kuaga washabiki wake na bonge la Tamasha tarehe 1/January/2013 kwenye ukumbi wa kwa Vy'Isi tarafani kanyosha."
Paggio,Dizzo,Aisha Amuri na Big manager wa Dizzo.(Baada ya kipindi). |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !