Home »
Bdi Beat Shows
» Buddy Magloire:"siku ya Noel moto utawaka"...
Buddy Magloire:"siku ya Noel moto utawaka"...
Written By Unknown on jeudi 20 décembre 2012 | jeudi, décembre 20, 2012
Siku kuu ya Chrismas imeanza kunukia nukia,zikiwa zimesalia siku ndogo tu,wanamuziki toka nchini hapa wamejiunga ili kusimama na bonge la tamasha litakalo fanyika kwa niabayenu nyinyi washabiki wa mziki wa burundi.Wasanii kama Rally Joe NIYINZI ambae alichukuwa tunzo ya milioni 10 siku ya jumaa-pili kwenye kinyanganyiro cha 'Primusic 2012',Samantha na Wasanii kama Farious, YOYA,RALLY JOE na MKOMBOZ ambao walizitengeneza pini zao kwenye NEXT LEVEL Studio wana ahidi kuwarusha roho kwenye bonge la tamasha hilo.Kwenye Tamasha hio watakuwepo vile vile Wasanii kama DJ PRINCE,na kijana ALFA,bila kumtenga Afande Romeo na Franck toka kundi la Wanajeshi family.Wote hao watakuwa pale tarehe 25/december kuanzia saa tisa hadi saa tatu na ifikapo saa tatu usiku ni mdaa wakukesha(Boite de nuit) hadi asubuhi.Walio kuandalieni Tamasha hilo ni pamoja na Buddy magloire,Bachir dia,Beni Nkomerwa na Amir pro.ki ingilio ni pesa 3000frsbu,na imepangwa kufanyika sehemu mpya panapo itwa 'COCKTAIL BEACH' pembeni ya 'Petit Bassam'
Libellés :
Bdi Beat Shows
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !