Kidum akiwa anaimba nyimbo 'Mapenzi' akipigiwa piano na Andre mfanya kazi toka IKHO Multiservice... |
Mwanamuziki KIDUM ambae yupo likizo nchini mwake alitembelea IKHO MULTISERVICE ikiwa imeanza hivi karibuni ila inafanya mambo mazuri kwaupande wa Entertainment nchini Burundi.Alipofika hapo alisema:"Burundi naona imeanza kusonga mbele,shughuli kama hizi ndizo zinazo itajika nchini,tuwaze maendeleo,nimefurahishwa na kuiyona Studio,nawatakia mafaanikio na mzidi ku upa kipao mbele Utamaduni wa hapa nchini."
Pichani:Botchum,Sway,Mr Happy na Andre kwenye keyboard akiwa anampigia KIdum nyimbo 'Mapenzi'... |
Ifahamike ya kwamba Studio hio imeshatengeneza bonge la pini linalo simama na jina 'NDAKUMISINZE' toka kwake BIG FARIOUS ambalo kila kona lina imbwa na kuchezwa,ifikapo jumaa mosi itakuwa ni wakati wa Chris d kurikodi...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !