Arsene BUCUTI:"Karibuni ku Cercle Lounge bar leo hii usiku saa ine tusheherekee Sunny Christmas"(Namba yakuwekesha fasi nini 78804455) - Kora Entertainment
Home » » Arsene BUCUTI:"Karibuni ku Cercle Lounge bar leo hii usiku saa ine tusheherekee Sunny Christmas"(Namba yakuwekesha fasi nini 78804455)

Arsene BUCUTI:"Karibuni ku Cercle Lounge bar leo hii usiku saa ine tusheherekee Sunny Christmas"(Namba yakuwekesha fasi nini 78804455)

Written By Unknown on jeudi 20 décembre 2012 | jeudi, décembre 20, 2012






Ukumbi mpya jijini bujumbura unao julikana kama 'Cercle lounge bar'unao patikana barabara ya Tanzania na DRC(Avenue de la Tanzanie)na zamani palikuwepo Sport Gym,ukumbi wakufanyia mazoezi.Kwa kuwa tunajiandalia nakusheherekea siku kuu ya Christmas,jumba hilo linakuandalieni usiku wa 'SUNNY CHRISTMAS' leo hii Alkhamis tarehe20/december/2012 kuanzia saa ine usiku(22h).Kwa wanao hitaji kuongea,kuchangia na wa super star kwa upande wakupasha habari(journalist),Wasanii kama Samantha NZ,Rally Joe mshindi wa primusic,Farious Big,KIKI Toure...Na kwa niaba yawana michezo watakuwepo  kama Francine NIYONSABA,Fanny SINDAYIGAYA mchezaji wa Urunani, NTACONAYIGIZE vianney mchezaji wa judo,Savoka Francis SOKOROZA,Byran KAVAKURE wa New Star na bila kumtenga Dj Noah ambae atawarusha roho kwa upande wa ufundi.

NB: Kwa wanao hitaji kujiunga nao,mwaweza mkawekesha na fasi kwakutumia namba 78804455
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News