Home »
» Kora 2012.Chris d:"Naomba kura zenu..."
Kora 2012.Chris d:"Naomba kura zenu..."
Written By Unknown on samedi 22 décembre 2012 | samedi, décembre 22, 2012
Zikiwa zimesaliya siku7,yaani wiki moja ili waweze kumtangaza mwanamziki bora kwenye kanda ya east africa kwa upande wawakina baba,NKEJIMANA Herve akiwa yumo kati ya Wasanii wa 6 anahitaji kura zenu...Habari kamili soma bango hilo,ila kwa wasio elewa kirundi ni kuwa una andika Chris d kisha unatuma kwa namba 002255626262.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !