Blog ya Burundi beat inayo maskitiko makubwa ya kuwafahamisheni kifo cha mama yake na Msanii SILAS DAMARA kilichotokeya siku ya Jumaa-tano tarehe 12/December/2012.Mazishi yalifanyika hapo jana.Mungu aulaze mahala pema muwili wa BAYIBARIRE Immaculée mama mzazi wa SILAS DAMARA...
Familiya ya mama yake na Damara wakimuombeya maombi ya mwisho mama Immaculée |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !