Jay JM amewasili leo kutokea nchini Norway... - Kora Entertainment
Home » » Jay JM amewasili leo kutokea nchini Norway...

Jay JM amewasili leo kutokea nchini Norway...

Written By Unknown on jeudi 13 décembre 2012 | jeudi, décembre 13, 2012


Jay JM ndio huyo amlie valiya Tshirtnyekundu...


Msanii Jay JM Mrundi ambae alikuwa anasubiriwa kwa hamu nchini Burundi leo hiyi mida ya saa saba ndo kawasili akiwa amepokelewa na Waandishi habari tofauti na Msanii HAKIZIMANA Gael a.k.a Gaga Blue ambae watakuwa naye bega kwa bega kwenye tamasha nayo andaliwa kufanyika ifikapo tarehe 25/December/2012 siku ya (Noel)Christmas.Msani huyo alipo wasili kwenye uwanja wa ndege alionyesha sura ya furaha kwani ilikuwa ni toka kitambo yeye kutowasili Burundi.Alikuja akishindikizwa na jamaa yake kwani kwa habari tulizo zipata wako na mipango mingi yakufanya hapa nchini Burundi.
Hapa ndipo walipo fikiya...(Mutanga Nord-Bujumbura)

Ikumbukwe ya kwamba Msanii huyo alifanya colabo moja na Gaga Blue nyimbo inayo kwenda na jina 'KANIPA NGOMA'.Wengine waimbaji kutokeya pande za Norway ambao watashirikiyana na Gaga Blue watawasili mwa wiki ijayo...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News