BOTCHUM:"Lazima tuyalete mabadiliko nchini Burundi." - Kora Entertainment
Home » » BOTCHUM:"Lazima tuyalete mabadiliko nchini Burundi."

BOTCHUM:"Lazima tuyalete mabadiliko nchini Burundi."

Written By Unknown on vendredi 14 décembre 2012 | vendredi, décembre 14, 2012


Botchumakiwa kwenye studio...

Mmojakati ya wajuzi wa swala nzima la kuzitengeneza na kurekebisha nyimbo(Producer)kwa jina halisi KWIZERA Freddy alias BOTCHUM tulipo ongeya nae alituwekeya wazi kuwa:"Lazima tuyalete mabadiliko nchini Burundikwa upande wa Enternaiment kwani tukizingatiya secta kama zote tunaona kuwa Warundi wamelala kiana flani,kumbe inatubidi kuziwekewazi na tuzitendeye haki mipango ambayo tutakayo kabiliyana nayo msiku za mbele."

Usemi huyo pengine waweza kujiuliza nikwanini ameutumiya?
Ni kuwa imezaliwa kampuni mpya nchini Burundi ambayo Botchum ameajiriwa ndani  inayosimama na jina 'IKOH Multiservice',kampuni hiyo inafanya kazi tofauti tofauti hasa zile zinazokwenda sambamba na mpango mzima wa technology,apo nikizungumziya(Design,Printing,Advertising,Web design,Audio Production,Video Production,Video surveillance na Information technology),niya yaokubwa nikuyaleta mabadiliko kwenye vipengele hivyo asilimiya 50 vimelala,yaani havijatimiziwa haki na japo wajuzi na ujuzi wa hali ya juu upo nchini Burundi.Kwasasa wanafanya kazi Tarafani Rohero,barabara ya urafiki(Avenue de l'amitié),kwenye majengo ya Rusca plaz,ofisi namba G16.Studio hiyo tayari imesha zifanya kazi na wasanii wa miondoko tofauti sana sana wa mitindo ya Gospel.Ila hivi karibuni alitwambiya manager wa kampuni hiyo kuwa wako mbiyoni kuzitowa promotion kwa baadhi ya Waimbaji nchini hapa.Pini 'Nakumisinze' itakufikiyeni hivi karibuni,ni bonge la pini toka kwake  Big Farious ambalo limetengenezewa kwenye hiyo Studio.Habari ndo hiyo...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News