U.S.A:Dj Philip:"Lazima niteremke Africa na clip video 3" - Kora Entertainment
Home » » U.S.A:Dj Philip:"Lazima niteremke Africa na clip video 3"

U.S.A:Dj Philip:"Lazima niteremke Africa na clip video 3"

Written By Unknown on dimanche 25 novembre 2012 | dimanche, novembre 25, 2012


Msanii Mrundi anae ishi maandishi matatu U.S.A sehemu pajulikanapo kama Texas MINANI Philippe a.k.a Dj philip ameongeya na blog yetu hiyi na akawa ameamuwa kuweka wazi haya yafwatayo:"Kwasasa ntakuwa nayo kapuni video yangu ya kwanza inayojulikana kwa jina la 'True love,maana yake penzi la kweli' nilio fanya bonge la colabo na Jay Ramy ambae si mara ya kwanza kutumika nae,pini ya kwanza ulio fanya colabo ilisimama na jina la 'Njo mamy'.Clip ya nyimbo hiyo kwasasa iko inakosolewa nakurekebishwa,soon itakuwa tayari na mtapata fursa nzuri yaku iyona.Baada ya hiyo ntajifunza nifwatishe za wapi kwani wakati njo huyu wakuonyesha ninacho kijuwa kupitiya muziki."Fahamu ya kuwa Dj Philip inakuja kuwa clip yake ya 2 baada ya kwanza 'Forever' kugonga kapata kutokana na binti flani aliye onyeshwa ndani ya clip hiyo kuja kukuta kumbe ni mtoto wa pastor flani nchini marekani.Alitwambiya kwakumaliziya:"Zitanigharimu pesa nyingi najuwa,napenda mziki na kwangu ni lazima niteremke Africa,yaani nyumbani Burundi nikiwa na clip video 3 zakutakata nakusisimuwa ambazo zitakuwa zimetengenezwa na level ya hali ya juu."Habari ndo hiyo...

* Baadhi ya picha za coming soon ya video 'True love'
Dj philip na mmoja kati ya dada atakae onekana kwenye clip yake.

na huyu apa ni mwengine utakae muona kwenye clip video yake hivi karibuni...

Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News