|
Picha hiyo niwakati timu ya taifa ilipokuwa imejieleza kucheza match ya kuwania tiketi ya kombe la Afrika(CAN),na wengi wao hawako nchini Ouganda |
Leo hiyi Burundi imeshuka dimbani kupambana na timu ya Somalia kwenye mashindano ya CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP,mashindano yalio anza hapo jana kwenye nchi ya Ouganda.Matokeo yalikuwa kama ifwatavyo kuanziya hapo jana:
-Ethiopia 1 - South soudan 0
Ouganda 1 - Kenya 0
Leo hiyi Burundi imewaangusha wasomalia kwa bao 5 kwa 1,bao ambazo zilifungwa kupitiya ufundi wa hali ya juu.Walio funga:
Seleman Yamin 2,Steve Ndikumasabo 1,Christopher Ndayishimiye 1 na Sova Moussa 1.
Lakufahamu ni kuwa waliondoka wachezaji 19 kinyume na 20 wanao ombwa na Waandalizi wa mashindano ya Cecafa,kingine ni kuwa waliondoka bila Chef wa delegation,pengine akawakuta msiku za usoni,hapakwenda hata Mtangazaji umoja kinyume na Hatungimana Desire alioko kule kwa niaba ya Redio yake ISANGANIRO ilio mlipiya kila kitu ili aweze kuwa jicho la Taifa kwakupasha habari ya mashindano yenye.walio safiri kwenda ouganda ni wachezaji 19,wakiwa:
Goalkeepers :
1.Arakaza Marc Arthur : Flambeau de L’Est
2.Nduwimana Saïdi Tama : Athletico Olympique
Mawinga wa pembeni:
3.Nimubona Emery dit Kadogo (arrière latéral droit) : Athletico Olympique
4.Nkurikiye Léopold dit Kaya (arrière latéral gauche) : Vital’O
5.Hakizimana Hassan dit l’homme (arrière latéral gauche) : Athletico Olympique
walinzi wa kati:
6.Kaze Gilbert dit Demunga : Vital’O
7.Manirakiza Haruna dit Lucio : Flambeau de l’Est
8.Hakizimana Issa : LLB Academic
9.Ndikumana Yussuf dit Lule : LLB Academic
Viungo wa kati:
10.Abdallah Masudi : Vital’O
11.Duhayindavyi Gaël : Athletico Olympique
Viungo wa mbele:
12.Nduwarugira Christophe dit Luco : LLB Academic
13.Nzigamasabo Stève : Vital’O
Mawinga wapembeni:
14.Ally Moussa dit Sova : Inter Star
15.Idy Saïdi Juma dit Balack (LLB Academic)
washambuliyaji:
16.Ndayishimiye Christophe : Athletico Olympique
17.Amissi Tambwe : Vital’O
18.Abdoul Razak Fiston : LLB Academic
19.Ndikumana Yamin Selemani: hana timu kwa sasa ila aweza kuichezeya timu ya Inter star.
N.B:Ratiba na habari zihusuzo CECAFA hivi karibuni...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !