Kebby boy:"Kimya changu kisiwapi hofu." - Kora Entertainment
Home » » Kebby boy:"Kimya changu kisiwapi hofu."

Kebby boy:"Kimya changu kisiwapi hofu."

Written By Unknown on dimanche 25 novembre 2012 | dimanche, novembre 25, 2012

Kwa jina lake maarufu HAKIZIMANA Yussuf a.k.a Kebby Boy juzi tulikutana nae Bwiza barabara ya 6,zero ya ma Bus sehemu pajulikanapo kama Tago Mago Studio kwake Dj Magos na akawa ameniambiya kuwa:"Mashabiki zangu wasihofu na kimya changu,baada yakuwashtukiziya nakuwa achiya clip video mbili 'My princess na Wako' ambazo wengi kati ya washabiki walirizishwa nazo,msikuu za usoni nataka ni iweke hazarani video nyingine mpya ,mjiandae vyakutosha kwani ni bonge la nyimbo na istoshi Akaga videos toka kwake Black Arthur ambae anafwatiliya swala nzima la kunitengenezeya video ameniahidi kuwa wataiweka manjonjo yakutosha ije kuzizima videos zangu zote za mwanzo."
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News