Emelance Emy atawasili kesho saa ine na nusu kwenye uwanja wa ndege jijini Bujumbura... - Kora Entertainment
Home » » Emelance Emy atawasili kesho saa ine na nusu kwenye uwanja wa ndege jijini Bujumbura...

Emelance Emy atawasili kesho saa ine na nusu kwenye uwanja wa ndege jijini Bujumbura...

Written By Unknown on lundi 26 novembre 2012 | lundi, novembre 26, 2012


Baada yakufanya vizuri nchini BENIN,Msanii NIWIZERE Emelance Emy hapo kesho asubiriwa kwenye uwanja wakimataifa wa ndege jijini Bujumbura.Tulipo hojiana naye kwa sim akiwa mjini Cotonou alitwambiya:"Ejo 10h30' tuzoba dushitse kukibuga c'indege c'i bujumbura,ndazi neza ko biryoshe uramutse uteye iteka igihugu cawe,abantu bari mugihugu ndazi neza ko bamfitiye igishika cinshi,rero numva nyotewe gushika ngo ndabashikirize ico nabemereye imbere yuko nja guhiganwa."Akimaanisha:"Kesho saa ine na nusu asubuhi ndipo tutawasili kwenye uwanja wa ndege jijini Bujumbura,natambuwa sana kuwa binafurahisha kama unajuwa unarejeya nchini mwako endapo umeipa heshma.Watu wengi wananisubiri kwa hamu,sasa naskiya kiu ca kufika ili niwape zawadi nilio jikubalisha mbele yakwenda mashindanoni." Msipitwi basi kesho kumpokeya...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News