PRIMUSIC 2012:"RALLY JOE jumaa mosi alishabikiwa kama raisi..." - Kora Entertainment
Home » » PRIMUSIC 2012:"RALLY JOE jumaa mosi alishabikiwa kama raisi..."

PRIMUSIC 2012:"RALLY JOE jumaa mosi alishabikiwa kama raisi..."

Written By Unknown on lundi 26 novembre 2012 | lundi, novembre 26, 2012


NIYINZI Rally joe,mshindi mwaka jana wa Isanganiro Awards hapo jumaa mosi alishabikiwa kama Mwami kwani alikuwa anashindana akiwa na washabiki wengi sana,habishangazi kwani alikuwa anashindana akiwa kwenye Tarafa alio zaliwa.Alichukuwa na fasi ya pili baada yakivumbi na jasho kwa mmoja kati ya wachakachuwaji(Membres du jury) Dj ashanti kuwa acha mashabiki walio hudhuriya hapo kwenye labda labda,alikuwa kusema amseme mshindi anachukuwa hata dakika 2 huku sisi tulio kuwa pale tunatizama huku roho zikidunda.Mashindano hayo yalimalizika wakishindana ifwatavyo:

-Kanda ya Magharibi(Ouest) ikijumuishwa na Bujumbura Mairie,Cibitoke,Bubanza na Bujumbura Rural wanamziki wa 4 wametambulika hiyi leo jion mashindano hayo yalifanyika Tarafani Kinama.Walishindana ifwatavyo:

 




1.Kiki Toure 71%
2.Niyinzi Rally Joe 70%
3.Katihabwa Samantha 69%
4.Matabaro Patient 63%
5.Yvan Muzika(Ururabo) 57%
6.Gaby Barry 56%
7.Nahimana Platini(Albinos) 56%
8.Rugendo Issa(Mr Kendo) 55%
9.Gabriel 55%
10.Chef Toussaint Chef Majanja
11.John Calvesh
12.Niyonkuru Francois a.k.a Niphram
13.Oscar 41%
14.Dyd Niyonzima 33%.
N.B:Ao wa 4 wa mwanzo ndio mabalozi wa kanda ya Ouest,watashindana na wengine 8 toka Est,North,Center & South.Robo fainali(1/4 final ni tarehe 2 December itakuwa Mkoani Kirundo).
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News