Poleni sana Washabiki wa Inter star(Faini ya 400.000frsb + kuto ona match 3 ya timu yenu) - Kora Entertainment
Home » » Poleni sana Washabiki wa Inter star(Faini ya 400.000frsb + kuto ona match 3 ya timu yenu)

Poleni sana Washabiki wa Inter star(Faini ya 400.000frsb + kuto ona match 3 ya timu yenu)

Written By Unknown on lundi 26 novembre 2012 | lundi, novembre 26, 2012


Hiyo ni timu ya Inter Star miaka ya nyuma...

Ilikuwa tarehe 17/November/2012 ndipo Ligue ya taifa  msimo wa 2012-2013 ilianza huku timu kupambana,mnakumbuka ya kuwa Inter Star ilipoteza alama 2 baada ya kwenda sare na Atletico zikiwa badi zilikuwa zinasaliya sekonda 30 match imalizike.Tokio hilo halikuridhisha mashabiki walio hudhuriya kwenye uwanja tarehe hiyo,hivo basi kamati tendaji ya FFB inayo ongozwa na Mwanamama Lydia NSEKERA ililifanyiya uchunguzi wakina swali linalo husu mwenendo mbovu washabiki wa timu ya Inter star walio uonyesha baada tu ya match kumalizika.Zilichukuliwa hatuwa zifwatazo:
*Washabiki wa timu ya Inter star hawatoweza kuona match 3 mfululizo zitakazo chezwa kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore.
*Timu inalazimika kutowa kitita cha pesa laki 4(400.000frsbu).
*Hawa wafwatao wamefungiwa miaka mtakao iyona hapo chini kutowasili kuona match yeyote kwenye uwanja wa Prince Louis rwagasore.
-Mariam Bugarashi,miaka 5
-Ramadhan na Jafari,miaka 2
-Kutengenezesha vio vya nafasi ya mapumziko(Vestiaire).
-Kulazimishwa kufanya mkutano wakufunza ni dhamu washabiki wa timu yao.

Waraka ambao FFB ilio andikia timu ya Inter Star ndio huyu kwa lugha ya kifaransa,tulijaribu kutafsiri hapo juu:



Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News