Sat b:"Ntawakamuwa vyakutosha." - Kora Entertainment
Home » » Sat b:"Ntawakamuwa vyakutosha."

Sat b:"Ntawakamuwa vyakutosha."

Written By Unknown on dimanche 25 novembre 2012 | dimanche, novembre 25, 2012

Sat b 'The Independant'
Mwanamuziki Bizimana Aboubakar Karoume a.k.a Sat b The Independant ametuwekeya wazi kuwa:"video yangu ya Ikinyamugigima itakuwa hewani msikuu chache,hadi mdaa huyu bado ipo jikoni inarekebishwa na wakali wawili mmoja anae julikana kwa jina la Hugues Bana,mungine atambulika kwa jina la Kent P pro,vijana ambao nakubali,mkae mkao wa kula mambo mazuri yako njiani."Aliongeza nakusema:"Najianda nakufanya mzungu uko wa kuitangaza nyimbo yangu 'Ikinyamugigima',nimeamuwa kuitambulisha hata Mikoani ili waitambuwe na wajuwe ni ujumbe upi nilio taka ku utowa."Hivo basi aliomba washabiki wamsapoti kwa sana... Ratiba ni hiyi ifwatayo:
*Bubanza:Tarehe 8 December
*Gitega:Tarehe 24 na 25 December
*Ngozi:Tarehe 31 December
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News