Amidou Hassan:"Karibuni sana..." - Kora Entertainment
Home » » Amidou Hassan:"Karibuni sana..."

Amidou Hassan:"Karibuni sana..."

Written By Unknown on dimanche 25 novembre 2012 | dimanche, novembre 25, 2012

Salaamu zenu mabibi na mabwana.Jina langu ni Amidou Hassan ,furaha kubwa ninayo kwakukaribisheni kwenye blog hiyi ya burundi news,ni mda sasa nilikuwa natumika kwenye tovuti za  www.greatlakesmix.com na www.indundi.com ila mda huyu nimeona ntakuwa mwizi wa fadhila nikiwa ntasaliya tu kuwa mtumishi kumbe naweza kufunguwa ukurasa wa kwangu tukawa tunajulisha mengi kuhusikana na utamaduni wa kwetu burundi bila kutenga habari toka bara la Africa na Ulimwenguni,ila sana sana tutajikaza sawa na uwezo wetu tutakuwa nao kuwajuza habari tofauti tofauti za utamaduni na Michezo wa kwetu Burundi.Tunawakaribisheni wapendwa wasomi mtakao chukuwa mda wenu kuzisoma habari kupitiya blog hiyi...
Karibuni
Share this article :

1 commentaire:

  1. wish u a good job mzee,weye ni number moja Burundi kishatunafurahishwa na jukumu lako...

    RépondreSupprimer

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News