KIDUM:"Mtoto acha nikushauri...Dawa ya siri nikunyamanza..." - Kora Entertainment
Home » » KIDUM:"Mtoto acha nikushauri...Dawa ya siri nikunyamanza..."

KIDUM:"Mtoto acha nikushauri...Dawa ya siri nikunyamanza..."

Written By Unknown on vendredi 30 novembre 2012 | vendredi, novembre 30, 2012



Mwanamuziki Mrundi anae ongoza kwenye ngazi ya Wanamuziki Bora na wenye ujuzi wa hali ya juu toka kwenye kanda nzima ya East africa Jean Pierre NIMBONA Kidum ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook haya yafwatayo:"Mwana ! Jewe aha umbona ngeze aha ngeze ni uko nahuye nabalimu batahengeshanya kunyereka inzira yukuri nanje muri kamere yanje ntanzira ngufi nigera nizera gucamwo . Ingorane nyinshi nazigiriye muri Kenya kubera ubuzima bwaho bwari bugoye ariko naragwanye ndaba umurwanyi gushika aho ubona muri Kenya benshi bamaze kwemera yuko hari impunzi yavuye mu burundi ibageramiye . Mwana reka ndaguhanure. ushaka gukora ikintu kizima mubuzima bwawe uragabanya amajambo urwize ibikorwa . Umuti w'ibanga ni uguhora . Ntube umubeshi kubera ejo canke hirya yejo uzohinyuzwa kandi uzomaramara . Mwana nagukunda ariko ndababaye kubera utazi ivyo uriko urakora . Navyaye benshi kandi ubu kubera imihezagiro yanje bageze kure kandi barashima . Ndi umuvyeyi kandi Patiri mukuru wumwuga wumwalimu .Ndabakunda mwese."Akimaanisha:"Mtoto,mimi nilipo fikiya kwasasa ni kuwa nilikutana na Waalim ambao walinionyesha njia mbadala yakufwata na mimi nilivyo huwa sipendi na siamini kupita kwenye njia fupi.Nilipata tatizo nyingi nchini Kenya kutoka na maisha kuwa magumu sana lakini nilipiganisha hadi mdaa huyu nchini Kenya wanakubali kuwa pako Mkimbizi alietoka Burundi anawaelemeya.Mtoto acha nikushauri...Ukihitaji kufanya kitu muhimu kwenye maisha yako ujitaidi upunguze maneno utumike sana.Dawa ya siri nikunyamanza.Usiwi mwongo kwani kesho ao kesho kutwa utasutwa tena utaona haya.Mtoto nilikuwa nakupenda ila naumiya kwaju naona hujuwi unacho kifanya.Niliwazaa wengi tena kutokana na baraka nilizo wapa kwasasa wanafika mbali tena wanashkuru.Mimi ni Mzazi tena padri Mkuu wa kazi yauwalimu.Nawapendeni nyote."..
 
Aliongeza:"Ndibuka nkiri muri primaire nakunda kubona umwarimu asaba liste des bavards hanyuma bagahabwa igihano . ubu niho naciye ntahura igituma vyakorwa . Mwana reka kuguma utera urwamo uri mwishuri jewe nka mwarimu ni bampa liste des bavards nkasanga urimwo ndaguhana kurya abandi bahanwa ! Iyo ni impanuro ya Mwalimu ariwe so wawe kw'ibatisimu ."Akimaanisha:" 
Nakumbuka wakati nikisoma shule ya msingi(Primary school) nilikuwa napenda kumuona Mwalim anaomba orodha yawalio piga fujo shuleni kisha baadae wanapewa ukumu.Ivi njo nime elewa kwanini.Mtoto aca kupiga fujo shuleni kwasababu wakinipa horodha yawalio piga fujo shuleni,mimi kama Mwalim wakinipa orodha ya walio piga fujo nikikuta umo ndani ntakupa lazma utashikiwa hatuwa.Uyo ni ushauri wa Mwalim wako ambae ndie baba yako alie kubatiza."
Sasa mimi nawewe tujiulize huyu ujumbe kwenye ukurasa wake ameundika kwakumsudia nani ao akina nani?Jibu ni msiku chache kwani Kidum ifikapo siku ya Jumaa pili atawasili nchini burundi kwa ripoti tulizo zipata kupitiya Wanao anda mpangilio mzima wa Primusic kwani anakuja kuzikonga nyoyo za raia wa Burundi kwenye robo fainali itakayo fanyikiya Kirundo tarehe 2/december,Nusu fainali Gitega tarehe 9/December,na fainali Bujumbura jiji la gharama ifikapo tarehe 16/December.Na bila kusahau kurikodi nyimbo na Mshindi wa primusic 2012.Habari hiyi itaendeleya...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News