Wanamuziki toka Mikoa ya:" Makamba,Bururi,Rutana,Cankuzo,Bujumbura watakutana pamoja ifikapo kesho kwenye Uwanja wa Makamba kwenye bonge la Festival.baadhi ya Wanamuziki kutokea buja wameahidi kuzikonga nyoyo za watakao wasili hapo.
Baraza la Wanamuziki nchini burundi (
Amicales des Musiciens du Burundi) kwa ushirikiyano na Wizara ya vijana michezo na tamaduni(Ministere de la Jeunesse des sports et de la Culture) na Wallonie Bruxelles International wabnakuleteya bonge la tamasha hapo kesho Jumaa mosi tarehe 1/December/2012,Tamasha hiyo imeandaliwa kufanyika Mkoani Makamba na itawakusanya waimbaji toka Kusini na Magharibi ya Burundi ambao watakutana kwa pamoja kwenye uwanja wa Makamba chini ya mada "Amani,kueshi kwa pamoja ni maendeleo kwetu."Tamasha hiyo itakusanyika Mikoa ya Makamba ambao ndio watakuwa wenyeji,Bururi,Rutana,Cankuzo na Mkoa wa Bujumbura.kuingiya ni bure na Festival hiyo ya mziki imepangiwa kuanza saa nane mchana(14h).
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !