Home »
» Big Farious:"Natimba tomorrow kwenye saa ine usiku(22h)."
Big Farious:"Natimba tomorrow kwenye saa ine usiku(22h)."
Written By Unknown on jeudi 29 novembre 2012 | jeudi, novembre 29, 2012
Ujio wa Big Farious umesaliya kuwa mwimbo nchini Burundi,kona zote,jopo la Watangazaji kupitiya vipindi vyao inakuwa inawaweya ngumu kuweka sawa Mashabiki wa Msanii nyota Big Farious kuhusikana na ujio wake nchini Burundi.MUGANI Desire siku hizi za nyuma amekuwa karibu sana na Blog yetu ambayo jukumu lake nikuwajuza mengi mazuri na mabaya yanayo jiri nje na ndani ya Burundi.Farious huwa anatuchaniya kinaga ubaga kuhusikana na safari yake nchini Burundi ambaye mwenyewe ni faraja kubwa kurejeya nyumbani baada ya mda mrefu.Hapo mwanzo tulikutangazieni kuwa atawasili Jumaa tatu ila pakawa pamejitokeza tatizo la ndege na ikamsababishiya kutowasili.Saa 2 za nyuma alitujulisha kupitiya ujumbe mfupi nakutwambiya:"Sema kaka..inakuaje?? yeah just kuku inform ya kwamba tatizo limetatuliwa kwa hio natimba tomorrow kwenye saa 4 za usiku…inshallah. peace mwana".
Habari ndo hiyo...
Karibu sana bro,AH sio siri wewe ni wa kwanza Burundi kwa habari za uhakika...
RépondreSupprimer