Home »
Bdi Beat Shows
» Yvan Muzika:"Lazima nijipe pole,kwani nilikuwa sitegemeyi."
Yvan Muzika:"Lazima nijipe pole,kwani nilikuwa sitegemeyi."
Written By Unknown on mercredi 5 décembre 2012 | mercredi, décembre 05, 2012
Msanii Yvan Muzika ambae anazoweleka sana kwenye game la mziki ameamuwa kuiyanda bonge la Tamasha ambayo tamasha hiyo ameungana na vichwa vingine kwa upande wa mziki.Msanii huyo tulipo mu uliza alitwambiya:"Lazima ni jipe pole kwani nilikuwa sitegemeyi kuwa naweza kushindwa kwenye mashindano ya Primusic.Ni funzo pengine kwangu na kwa wengine."Mpangilio mzima tizama bango hapo juu...
Libellés :
Bdi Beat Shows
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !