Big Fizzo:"Akari inyuma karahinda'..." - Kora Entertainment
Home » » Big Fizzo:"Akari inyuma karahinda'..."

Big Fizzo:"Akari inyuma karahinda'..."

Written By Unknown on mercredi 5 décembre 2012 | mercredi, décembre 05, 2012




Pichani:Big fizzo mbele ya mic,na Big Base mbele ya computer.
Mwanamuziki Mrundi MUGANI Desire a.k.a Big fizzo,a.k.a Farious akiwa likizoni nchini Burundi yuko anatumika vyakutosha,mda huyu ambapo tuko tunakuchapishieni habari hiyi El Burundiano yupo Menya media studio kwake Big base anaingiza sauti ya nyimbo yake ya pili inayosimama na jina la :'Daima',Mwanamiziki huyo sio siri anatumika vyakutosha kama alivyo aidi kwenye uwanja wa ndege wakati alipofika nchini ilikuwa ni siku ya Ijumaa saa ine usiku.Nyimbo hiyo ni ya 2 baada ya "Ndakumisinze',bonge la pini ambalo linakuja kuzizima nyimbo kadhaa ambazo zinaondoka na mitindo ya Rnb,na vile vile zikizungumziya mapenzi.Nyimbo hiyo ya kwanza ameitengenezeya 'Ikho Multi-service' kwake Bochum pro.Ametwambiya kwamba:"Mda huyu niko busy sana na kazi ya mziki kwani kitambo nilikuwa siziachi pini mpya.sasa imefikiya wakati mbadala wakutumika kijeshi jeshi,washabiki wangu bila shaka watafurahi nawaomba wakae mkao wa kula kwani 'akari inyuma karahinda'."Ifikapo Jumaa pili atakuwa mgeni rasmi mkowani Gitega kwa niaba ya nusu fainali ya primusic 2012.habari ndo hiyo...
Farious iko anachana chorus ya nyimbo 'daima'...



Wako wanaongozana ili pini isimame na mashabiki mkubali.

Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News