Primusic 2012:"Sony alias Kabu cherche kabu trouveameibiwa sim usiku wa leo Gitega..." - Kora Entertainment
Home » » Primusic 2012:"Sony alias Kabu cherche kabu trouveameibiwa sim usiku wa leo Gitega..."

Primusic 2012:"Sony alias Kabu cherche kabu trouveameibiwa sim usiku wa leo Gitega..."

Written By Unknown on samedi 8 décembre 2012 | samedi, décembre 08, 2012

Pichani:Sony na Cent euros wakiwa wanajibishana kuhusu kupoteye kwa hiyo sim...

Jioni ya leo kwenye nyakati ya saa kumi ndipo Mwanamuziki super star MUGANI Desire a.k.a Big Farious ambae ni Mgeni rasmi kwenye mashindano ya Primusic 2012 kwa ushirikiyano na Jopo la Kamati tendaji na Waimbaji 6 watakao pambana kwenye ngazi ya nusu fainali(1/2 finali)wameshafika tayari Mkoani Gitega kwa usalama ila tatizo ni kuwa Sony ameibwa sim yake,haijajulikana ninani kaichukuwa,hali halisi ni kuwa kwenye gari hiyo walikuwepo Cent euros na jamaa yake na ndio wanao kisiwa kuwa wamechukuwa sim hiyo,ila uchunguzi bado unaendeleya,inakuja kuwa mara ya pili Mkoani gitega kuibiwa sim,awali Fizzo njo alichukuliwa sim yake,mara hiyi ya pili ni jamaa yake Sony kabu cherche kabu trouve .Tulipo wauliza baadhi yao walitwambiya kuwa wamefika salama na wote wako salama salimini,tatizo tu ni kuwa sim yao aina ya Samsung Galaxy S3 imeibiwa,jambo ambalo hadi mda huyu yuko kwenye majonzi.
Hiyo ni gari aina ya TI,gari ilisakwa mahali kote ila sim haikupatikana.

Willy Sirabahenda,Mwanamuziki ambae apo zamani alikuwa kwenye kundi la Etoile du centre alitwambiya:"Niko natatizo kidogo la macho,ila haitonikataza mimi kuzichukuwa picha."Big farious ambaye hapo mwanzo alikuwa analalamika kuhusikana na sauti yake,alitwambiya:"Kwasasa niko poa namshkuru Mungu kwani sauti yangu inatoka,na kesho Wanyagitega ntawakamuwa kijeshi jeshi,najuwa watakubali."Chakufahamu ni kuwa jopo la wachakachuwaju(Membres du jury) kuna baadhi yao ambao hawato shiriki kesho kwenye mpangilio mzima huyo.Apo kesho watakao jiusisha na mpangilio huyo ni pamoja:Buddy Magloire,Bachir Dia,Arnaud na Leonard,hao ni ambao tumewaona wameshafika Gitega kinyume na Buddy ambae aweza kupanda kesho.Habari rasmi ni kuwa Harusha Gilbert kasimamishwa kwa muda.Dj Ashanti anaumwa na pengine hiyo kesho asijiungi na Wenzake.Kesho mashindano hayo yatafanyika kwenye uwanja wa mpira(Stade de Gitega),na watapatikana washindi wa 3 peke yao.Kidum ambae alichukuwa msafara hapo jana usiku,asubiriwa kuwasili tena Bujumbura asubuhi ili akonge nyoyo za wapenzi wa mziki jioni ya kesho.
pichani:AH, Big farious &  Sony Kabucherche kabu trouve,dakika 30 kabla ya msafara wakuelekeya Gitega...


By AMIDOU Hassan jicho lenu ni kiwa Gitega...habari kamili kuhusu matokeo ya primusic 1/2 final kesho jioni insha' allah...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News