Week end hii tulio imaliza jana,ligue ya Burundi ilikuwa imeingia kwenye wiki yake ya 2,matokeo yalikuwa ifwatavyo:
Jumaa-mosi:
Flambeau 0-0 Academie tchite
Messager fc 1-0Vital'o fc
Atletico 1-0 Muzinga
Jumaa-pili:
Flamengo 2-3 Inter star
Leo jumaa-tatu
LLB Academic 3-0 Espoir
Vital'o fc wakivalia jezi nyeupe,huku wenzio wa messager ngozi wakivalia za rangi ya poda... |
1.Academie tchite 7points,ina match 3
2.Prince louis 6points,ina match 3
3.Royal 4points,ina match 2.jumaa tano itachuana na Atletico.
4.LLB 4points,ina match 2
5.Inter star 4points,ina match 2
6.Flambeau de l'est 4points,ina match 2
7.Atletico 4points,ina match 2
8.Espoir 3points,ina match 3
9.Muzinga 3points,ina match 3
10.Messager Ngozi 3 points,ina match 2
11.Vital'o fc 0point
12.Flambeau 0point,ina match 3
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !