Pichani:Big base & Big farious wakiwa Menya media Studio... |
Msanii Big Farious kama alivyo ahidi kuwa anakuja nchini Burundi kufanya kazi baada ya kimya cha miaka miwili akiwa mitoni.Blog yetu hii ilitembelea Menya media studio,mmoja kati ya Studio zinazo fanya vizuri nchini tukamkuta Farious kwa ushirikiano na Big base wakiwa wanarekebisha nyimbo yake ya 4 itasimama na jina 'Naku love'.
Alitwambia:"Sikuja kutania huku nyumbani lazima nikate mzizi wa fitna wa washabiki na wasio kuwa washabiki wangu,sina mdaa wakupoteza nataka ni akikishe nimerejea mitoni nimesimama na album yangu mpya."Nyimbo zake hizo zote 3 zinachezwa sana kwenye vituo vya radio tofauti tofauti nchini Burundi...
big up brother!
RépondreSupprimer