Pichani:Buddy magloire,Kidum,Maisha Moustafa,Andre... |
Jana alkhamis tarehe 6/December/2012 Mwanamuziki Jean Pierre NIMBONA Kidum kwaushirikiyano na familiya yake,ndugu jamaa na marafiki waliweka kwa pamoja tafari ya uanzilishi wa nyumba atakayo itemgeneza tarafani Carama,pembeni ya Kinama jijini Bujumbura.
Mama mzazi wa Kidum... |
Ilikuwa ni fursa kwa Kidum kuitambulisha familiya yake kwa ndugu ,jamaa na marafiki.Walichukuwa fursa kama gisi unakavyo ona kwenye picha hizo kumuomba mungu kwakuwakutanisha na kuweza kuwapa baraka yakuanzisha rasmi ujenzi wa nyumba yake.
Fahamu tu ya kwamba Kidum aliwakirimu kwakuwachinjiya mbuzi 2 na vinywaji tofauti tofauti.Ilikuwa ni furaha na pongezi kwa walio hudhuriya kwenye sherehe hiyo.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !