Home »
» Daddy Face akiwakilisha pande za umarekani
Daddy Face akiwakilisha pande za umarekani
Written By Unknown on samedi 10 août 2013 | samedi, août 10, 2013
Daddy face ni msanii chipukizi ambae anaishi inchi ya Marekani kwenye mji wa North dakota, Ila ni mzaliwa wa inchi ya Burundi, na kwasasa ameamua rasmi kuwapa ma fans wake kitu ambacho walikuwa wamekisubiria mda mrefu. Daddy face ali safiri katika mji wa Houston, Tx Ili afanyie kazi zake kule ambapo alikutana na Director Mkali sana kwenye Music Video Young pdk Na kwasasa yeye ndo anasimamia kazi zake zote. Daddy face amefanya nyimbo zae Nne kwasasa katika studio kali ya ki africa hapa inchini Marekani ambayo inaitwa X-trim Records na Producer Giggz, Studio hii imesha towa wasanii wengi sana kama Hood Billi, Zaena Morisho, Abizzy nawenginewo wengi sana ambao wamesha fanikiwa katika hii thasnia ya mziki. katika hizo nyimbo zake nne ambazo wimbo mmoja unakwenda kwa jina la "Mama" Daddy face amebahatika kuwashirikisha wasanii wakubwa Kama Abizzy pamoja na Zaena Morisho kwenye track zake mbili. Daddy face anatarajia ku shoot video yake yakwanza Na Abizzy tarehe 11 za mwezi huu ambapo ata release na audio ya hio video. Video Itashutiwa na Director Young pdk. kaeni macho kwa kuburudika na vitu vikali kutoka kwa Daddy Face. Ebu angalia promo hii ya wimbo wake mpia.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !