Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki
dunia akiwa Afrika kusini Chanzo cha kifo hicho bado
hakijafahamika, lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii huyo
hakuamka tangu alipolala .
Mtandao huu unaendelea kuifuatilia
habari hii R.I.P Ngwair...
msani huyo kafariki leo majira ya saa 18h15
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !