T-MAX Natamani ningekuwa Super Star
Written By Unknown on jeudi 14 février 2013 | jeudi, février 14, 2013
video mpya ya T-MAX sasa ipo tayari, tena tungependa kuwa julisha ma fans wetu wote ya kwamba tumekuwa tuna jaribu kurekebisha vitu vingi kwenye tovuti letu linalo julikana kwa jina la Kora Entertainment, Vikishirikiana na K Awards baada ya siku Chache tuta viweka Online, ni vitu vingi tumebadili kwa ajili yenu kaeni tu mkao wa kula ile mpate vitu vizuri na news mpya mpya.
Libellés :
Hot News
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !