Keshy Video karibu Bujumbura - Kora Entertainment
Home » » Keshy Video karibu Bujumbura

Keshy Video karibu Bujumbura

Written By Unknown on samedi 23 février 2013 | samedi, février 23, 2013

Mkurugenzi wa"KESHY VIDEO LAB"(Keshy abdoul) alofanya album Video ya Msani Maarufu apa inchini Burundi anae julikana kwa jina La  Sugu Jay sasa  kabadili jina ivi anajitangaza kwa jina la New Jay   videos zake  ametumikia  south afrika ambayo amo ndani nyimbo kama 
"FIRST LOVE"  na "PROUDER"................muloona kwenye net na TV tofauti.

Anakuja 24/02/2013 15h anaingiya Bujumbura kuja kucangiya kukuza sana ya Burundi na mengine mengi katika agenda yake.
Abdul Keshy

Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News