Bum Bum Bukavu Show - Kora Entertainment
Home » » Bum Bum Bukavu Show

Bum Bum Bukavu Show

Written By Unknown on dimanche 24 février 2013 | dimanche, février 24, 2013

Bum Bum Show Ambao imeandaliwa nchi ya D.R Congo - Bukavu. Mr Happy : kwa mara ya kwanza naenda kufanya show Bukavu Congo hatakama wanasema hawapendagi nyimbo za kiswahili nafikiri sii kweli kwa sababu atungelipata mkataba wa kufanya show mbili kusema kweli watu wa Bukavu - Goma na Uvira changugu gisenyi mjee kwa wingi sana ili muone mabadiliko ao utofauti wa mziki msikubali kuambiliwa karibuni sana.

Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News