Mwana dada anae endelea kushamiri na nyota yake kuzidi kupiga fora kwenye fani ya Muziki wa Buja Fleva na ukanda wa Mashariki pia na nchi za maziwa makuu, Bikiyo aka Keza sasa kaachia wimbo wake mpia anadayi kuwa uli mgarim dola 1.500 sarafu ya umarekani na huku akimshirikisha GuyRaps RaMa katika hiyo nyimbo jambo laku shangaza sababu huyu jama siku nyingi amesimamisha kutowa nyimbo anajiusisha nambo ya kukuza vipaji kwani anadayi kisha kuwa kikongwe aliyo bobea kwenye fani hiyi. Nyimbo inaondoka kwenye miondoko ya Zouk & Ragga, bonyeza hapa chini usikilize nyimbo hiyo inayo kwenda kwa title Jewe Nawe (Mimi na Wewe).
WAWU NICE ONE
RépondreSupprimer