Msanii Nkejimana Herve a.k.a CHRIS d kama tulivyo wajulisha hapo jana kuwa ataingia saa tano mchana ni kuwa ameshawasili na mpango mzima wa Tamasha alio ahidi ungali ule ule.Ameomba kwenye uwanja wa ndege alipofika mida ya saa tano asubuhi raia wa Burundi wawasili kwenye ukumbi wa kwa vy'Isi waje wa ambukizane furaha.Tamasha yenyewe imepangwa kuanza saa kumi jioni.Ki ingilio kikiwa kimepangwa 2000frsbu na 3000frsbu.Patakuwepo wasanii kama Mkomboz,Ell's boy,Sal g,pop g,Black g,miss Erica,Small Dogg...Mna alikwa nyote...
Baadhi ya picha alizo zipigwa akiwa Ivory Coast...
Pichani: Chris d , Didier Drogba... |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !