Hiyi Ni Next Level Kabisa Buja Flava na Jamaican Music Wakishirikiana.
huyo sio mwengine Ni Sal-G anae julikana Kwa kibao cha No Love ft Chany Flow,
Akishirikiana Na Jamaica Arts
Kwa Kibao chao kipia Kinao Enda Kwa Jina La Tukanyigite.
Ama Kweli Burundi Tunaweza, Hebu Sikiliza Wimbo huyu, Dance Hall Ragga .
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !